Nenda IFMHabari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu.
Nimepata:
1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university
2: Bachelor of Economics and finance I F M.
Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi itakuwa bora zaidi. Nahitaji ku confirm chuo kwa Sasa hivyo muongozo wenu nahitaji wakubwa zangu nipo njia panda. Natarajia majibu ya kisomi zaidi kutoka kwenu,naomba sana.
Asante sana kwa ushauri, natamani ungenifafanualia japo kdg kwanini IFM nikapata kuskia.Nenda IFM
Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu.
Nimepata:
1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university
2: Bachelor of Economics and finance I F M.
Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi itakuwa bora zaidi. Nahitaji ku confirm chuo kwa Sasa hivyo muongozo wenu nahitaji wakubwa zangu nipo njia panda. Natarajia majibu ya kisomi zaidi kutoka kwenu,naomba sana.
Mkuu asante sana sana! Umenitosheleza Kwa upana! nimeelewa vzri sana! Haya maelezo niliyasubiri sana Ili nifanye maamuzi yangu na Sasa nashkuru nimeyapata.Mwenyezi Mungu Akubariki sana sana sana!🙏1.Kama unataka uelewa mpana kuhusu masuala ya uchumi na tafiti zake kama inflation, exchange rates and Foreign exchange market(FOREX) Foreign Direct Investment (FDI) per capital income, gdp, investment, interest rate n.k fanya hiyo ya ardhi
2.na kama unataka kufanya kazi katika financial institutions kama banking, mico finance, micro credit,auditing firms n.k fanya ya IFM
Asante sana sana kwa maelezo ya kutosheleza kabisa.Mungu akubariki mno kiongozi! Umenipa mwanga mdogo wako!Bachelor of arts in economics(pure economics) unasoma kozi zote zinazohusiana na uchumi kwa ujumla na inakuwezesha kufanya kazi zote zinazohusiana na uchumi mfano agricultural economics and natunal resources,environmental economics(NEMC),Public finance(taxation),international economics(international trade),monetary economics(money,banking and finance services) takwimu na research (econometrics),economics policy and planning (B.O.T and ministers of finance na bungeni wakati wa budgeti kuu(fiscal years) n.k
Malengo ya kozi
1. Mwanafunzi kuwa na uelewa kuhusu masuala ya uchumi kwa ujumla kama micro na macro economics.
2. Kufanya tafiti na kutunga sera zinazohusiana na masuala ya kiuchumi n.k
Kiongozi nimekuelewa vizuri sana,Bachelor of economics and finance unasoma mambo baadhi ya uchumi na mambo ya baadhi ya finance lakin unakuwa haupo deep sana kwenye uchumi na wala finance kwa pure economics(bachelor of arts in economics) na pure finance ni bachelor of commerce in finance lakini inakuweza kuomba kazi zinazohusiana na mambo ya uchumi na vile vile mamb ya finance lakini ukifanya hii kozi unabidi utafute na CPA ili uwe umijitosheleza.
Asante sana nashkuru wamekuja na nimepata muongozo mzuri.