NAOMBA USHAURI; Kati ya Toyota IST na Mazda Verisa ipi nichukue?

NAOMBA USHAURI; Kati ya Toyota IST na Mazda Verisa ipi nichukue?

muokotamatunda

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
1,614
Reaction score
1,202
Ndugu zangu habari,

Kama ambavyo utangulizi unavyo jieleza,nataka ninunue kati ya hizo gari tajwa hapo juu,naomba ushauri wenu na utaalamu juu ya hizo gari.

Asanteni sana hapo chini hiyo nyekundu ni mazda verisa, na hiyo ya silva ni toyota IST.

20221003_133055.jpg
20221003_132956.jpg
 
Ndugu zangu habari..!
Kama ambavyo utangulizi unavyo jieleza,nataka ninunue kati ya hizo gari tajwa hapo juu,naomba ushauri wenu na utaalamu juu ya hizo gari...
Ningependa kufahamu kuhusu spea na upatikanaji wake,mafundi,ugumu au uvumilivu kati ya hizo gari
 
Mazda ni gari ngumu Sana naijua unafanana kila kitu na IST ingawa spare parts zake ni hadimu kidogo.
Kama umechoka na uniform (IST) chukua Mazda banaa
 
Ndugu zangu habari,

Kama ambavyo utangulizi unavyo jieleza,nataka ninunue kati ya hizo gari tajwa hapo juu,naomba ushauri wenu na utaalamu juu ya hizo gari.

Asanteni sana hapo chini hiyo nyekundu ni mazda verisa, na hiyo ya silva ni toyota IST.

View attachment 2375774View attachment 2375775
madza ni gari ngumu na ni nzur na zinakuaga cheap bei zake
ila kibongo bongo ukichukua gar tofauti na toyota tegemea yafuatayo; spea bei kubwa na kama uko mkoani mpk uagize dar na utazipata kwa bei kubwa na kwa kuhangaika, mafundi hawazijui izo gari wengi wanabeti tuu, service yake pia itakua gharama kubwa, ukitaka kubadilisha gar utaiuza kwa bei ndogo au hutapata mteja kbs, pia fuel economy kwa toyota ni superbrand, toyota is a king of reliability yaan engine zako kupata matatizo ni nadra compared with other brands japo madza pia zinajitahidi
 
Back
Top Bottom