muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
okay,nimeiweka kama mfano tu,napenda sana black au dark blue,Nyekundu kama imekaa kuwaajiri ya mademu
DuhNyekundu kama imekaa kuwaajiri ya mademu
Sawa mkuuIST ndo jezi ya wazalendo
WeeeChkua mazda verisa
Maintainance yake chini kuliko IST
Asante mkuu,vipi spea zake,Chkua mazda verisa
Maintainance yake chini kuliko IST
naomba uzoefu wako mkuuWeee
Kwa mafundi wetu wengi hawazijui gari zaidi ya Toyotanaomba uzoefu wako mkuu
Ningependa kufahamu kuhusu spea na upatikanaji wake,mafundi,ugumu au uvumilivu kati ya hizo gariNdugu zangu habari..!
Kama ambavyo utangulizi unavyo jieleza,nataka ninunue kati ya hizo gari tajwa hapo juu,naomba ushauri wenu na utaalamu juu ya hizo gari...
sawa nduguKwa mafundi wetu wengi hawazijui gari zaidi ya Toyota
nashukuru sana mkuu kwa maoni yako.Mazda ni gari ngumu Sana naijua unafanana kila kitu na IST ingawa spare parts zake ni hadimu kidogo.
Kama umechoka na uniform (IST) chukua Mazda banaa
madza ni gari ngumu na ni nzur na zinakuaga cheap bei zakeNdugu zangu habari,
Kama ambavyo utangulizi unavyo jieleza,nataka ninunue kati ya hizo gari tajwa hapo juu,naomba ushauri wenu na utaalamu juu ya hizo gari.
Asanteni sana hapo chini hiyo nyekundu ni mazda verisa, na hiyo ya silva ni toyota IST.
View attachment 2375774View attachment 2375775