Mnondwe JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 4,013 Reaction score 3,679 Nov 1, 2018 #21 Jovida said: Namaanisha gari ilonyanyuka kulingana na barabara nayotumia Click to expand... Tafuta RAV4 YA 2WD(TWO WHEEL DRIVE)
Jovida said: Namaanisha gari ilonyanyuka kulingana na barabara nayotumia Click to expand... Tafuta RAV4 YA 2WD(TWO WHEEL DRIVE)
M Mwagala boy Member Joined Aug 20, 2020 Posts 5 Reaction score 0 Aug 26, 2020 #22 Jovida said: Msaada nataka kununua gari isiyozidi 10m,ila gari ambayo inatumia mafuta kdgo,pia iko juu kwani barabara yangu ya kila siku ni rafu na iko vibaya sana mawe mingi. Click to expand... Upo mkoa gani?
Jovida said: Msaada nataka kununua gari isiyozidi 10m,ila gari ambayo inatumia mafuta kdgo,pia iko juu kwani barabara yangu ya kila siku ni rafu na iko vibaya sana mawe mingi. Click to expand... Upo mkoa gani?
JAKUGOTE JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 788 Reaction score 1,084 Aug 27, 2020 #23 Mwagala boy said: Upo mkoa gani? Click to expand... Baada ya miaka miwili we ndio unamtafuta Leo?