mamamkimbi
New Member
- Feb 5, 2015
- 4
- 1
Jamani mimi nimesoma mpaka Form six nimemaliza mwaka jana Div 3....sasa nataka kusoma kozi fupi fupi ambazo zitanifanya nipate ajira kwa urahisi. Naomba mnishauri nisomee kitu gani.....
Vipi tourism wadau !?
Vipi tourism wadau !?