Rodrigoleonard
Member
- Sep 24, 2021
- 8
- 6
Sawa, utakapokuwa Tayari nipigie simu. Details nimekupa hapo juu.7500 ni kwa jumla ama reja reja
Mm nataka kwa jumla
Ila 7500 ni kubwa sana kulingana na gharama za usafirishaji na kodi
Kodi ya bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar
Je apo kwel faida nipata?????
Mtoa mada nimempatia mwongozo kwa ufupi, hivyo kazi ibaki kwake kupiga simuNatumae mleta mada umepata muongozo...
Namba yako wapiSawa, utakapokuwa Tayari nipigie simu. Details nimekupa hapo juu.
1. Bei huwa ni jambo la mwisho kabisa katika biashara.
2. Maana bado sijajua mazingira yako ya biashara yako(Miundombinu, muda, na mzunguko wako wa biasharra kwa wiki unataka mzigo kiasi gani)
Kama unataka kufanya biashara nasi tupigie simu. Hapa ni hatua ya awali kupata taarifa na kuwapata wahusika ila haimaanishi biashara itafanyika kwenye keyboard.
K. A. R. I. B. U
Ndio ila sikupata faida nzuri so niachana nayo kulingana sikuwa na wateja wa kutosha , mayai yalikuwa yanakaa muda mrefu kidogo so unakuta inakugharimu kwa upande Fulani kwa sasa nipo kwenye ufungaji wa kukuKaka hali yako?
Ulifanikiwa kuanzisha hii biashara?