Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,819
- 2,134
ABC zipo sema nahitaji mtu mzoefu mafanikio kuna muda yanahitaji mentorUnawekaje Hela kwenye biashara ambayo hujui hata ABC zake
kijana yupoUnyoa Wewe au kijana
ntajitahidi kuwepo pale mkuuNyoa mwenyewe,vinginevyo umemfungulia mtu ofisi anaupiga mwingi taratibu na kula mademu kimasihara
asante mkuuHakikisha kila kitu unachoenda kufanya unaweka plan mbili yani A&B ikifeli plan A unahamia plan B kuhusu biashara yako kama unaweza chukua muda kidogo zen ipe nafasi roho na moyo wako ikwambie wapi umekwama zen mpango namana ushauri kila mtu watakwambia anachojua yeye or Mara ng'ombe wa masikin hawezi kutoka chini or Mara nini huwezi kuwin kwa hatua moja uliyopiga hongera
[emoji23][emoji23]ntalifanyia kazi mkuuNyoa mwenyewe,vinginevyo umemfungulia mtu ofisi anaupiga mwingi taratibu na kula mademu kimasihara
Hamna namna ya kuzibiti huyo kijana zaidi ya kumpangia hesabu ya siku kulinga na eneo la biashara, Kodi ya pango na ubora na idadi ya huduma za hiyo salonkijana yupo
Chukua mawazo hapa mtoa mada.Hamna namna ya kuzibiti huyo kijana zaidi ya kumpangia hesabu ya siku kulinga na eneo la biashara, Kodi ya pango na ubora na idadi ya huduma za hiyo salon
ni baada ya muda gani inatakiwa umpangie hesabu au ukishafungua tu ofisi siku hiyo hiyo?Hamna namna ya kuzibiti huyo kijana zaidi ya kumpangia hesabu ya siku kulinga na eneo la biashara, Kodi ya pango na ubora na idadi ya huduma za hiyo salon
nikifunga CCTV hawezi acha kazi kweli? maana wafanyakazi ukiwabana sana nayo inakua changamotoAnaweza kufunga CCTV! jioni ana review wateja waliohudumiwa. Gharama wanagawana kwa vichwa
Kama iyo sehemu inabiashara siku Hiyohiyo inabidi aanze kuhesabiwa kama hujui jaribu kuaa nae ili ufanye makadirioni baada ya muda gani inatakiwa umpangie hesabu au ukishafungua tu ofisi siku hiyo hiyo?
shukrani mkuuKama iyo sehemu inabiashara siku Hiyohiyo inabidi aanze kuhesabiwa kama hujui jaribu kuaa nae ili ufanye makadirio
nikifunga CCTV hawezi acha kazi kweli? maana wafanyakazi ukiwabana sana nayo inakua changamoto
nmefanyia kazi ipo njiani ndo naisubiriSasa unataka kipi,kuibiwa au kuwaacha waibe hizo hesabu?
Funga camera mtu akataka kuondoka asepe kuwa mkali kweny biashara mzeee au hela huwa unaokota?
Yani mimi kmmmmke sitaki ujinga kwenye hela napiga hadi vicwa
nmefanyia kazi ipo njiani ndo naisubiri