Naomba ushauri kuhusu biashara ya bucha

Nimekuelewa sana mkuu Equation x, nashukuru pia…. ila hapo kwenye gogo naona msumeno ni poa zaidi.

Nitajaribu kujua bei yake.
Hata hicho kigogo inabid uwe nacho
Maana Kwan mifupa utasagiasagia
Wapi Kama huna hicho kigogo
 
Nikweli mkuu
 
Bingwa wa vifaa vya butcha nipo ilala amana....
0654567777/0779420000. Number zote zipo whatsapp
 
Kwahiyo mkuu tusiombe ushauri na uzoefu?

Taarifa ni muhimu ili kutoa ukungu, kisha unazama ndichi kwa ajili ya upembuzi yakinifu…. na ushauri ni rahisi kupata JF kuliko site ambako wamiliki wa mabucha huwakuti.
Bata mkimchunguza sana hutamla mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…