Naomba ushauri kuhusu biashara ya ice cream

inategemeana na eneo lakn nadhan kwa kipindi hiki tunaelekea kwenye mvua sidhan kama itakua inatoka sana
 
Inalipa sana ila location ndio. muhimu na pia mkoa uliopo..na unaposema ice cream ni ipi maana kuna watu wanashindwaga kutofautisha zile barafu na ice cream..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…