Naomba ushauri kuhusu biashara ya kufanya

Streptokinase

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Posts
276
Reaction score
436
Wakuu katika kuhangaika kwangu nimejichanga changa sana hadi sasa nina kama milion 10 za kitanzania, lengo ni kupata 'goli' kariakoo na kufanya biashara ya nguo za kiume.

Nimekuja hapa kuomba ushauri na maoni, na kama naweza kupatiwa changamoto ambazo nitegemee kukutana nazo katika safari yangu hii mpya ya kutafuta maisha.

Nawasilisha
 
K.KOO 10M mkuuu unatakiwa uwe tayri ushalipia frem then hiyo 10M ndio iwe mtaji na sio frem iwe inahitaji marekebisho..yani frem iwe tayri kama shelf ushaweka kama kabati ushanunua yani kila kitu kiwe tayri kisha mwisho kabisa mkononi ndio uwe na 10M hapo k.koo karibu sanaa.

Tofauti na hapo 10M k.koo hyo hyo kodi mpk ukarabati wa frem nk nk.utabakiwa na mtaji wa machinga muuza mitumba tena aliesambaza chini na sio dukani.

Chakufanya : Hiyo 10m ni nyingi sana tena itakutosha kama utaamua kwenda k.koo na ukaachana na biashara za kwenye mafrem..Waza biashara yyte kwa mtaji huo then tafuta vijana weka bidhaa yako popote utakapoona pana nafasi then Piga hela.

Ukiwaza Frem k.koo mtaji wako usiwe chini ya 20M otherwise uwe unataka vile vichochoro vya frem k.koo kwa wachina wauza yebo yebo..kama unaongelea vi frem vile sawa 10M itakutosha..frem ambayo ukikaa miguu inabembea nnje.

Nunua pamba za kiume mkuu then panga mahali Achana na GOLI hutoliweza atleast subiri mtaji ufike 50M
 
Kama mchongo unao na watu wakonektion unao hyo 10M unaweza ingia kwenye frem pia Kama umepania kweli Frem
 
K.KOO 10M mkuuu unatakiwa uwe tayri ushalipia frem then hiyo 10M ndio iwe mtaji na sio frem iwe inahitaji marekebisho..yani frem iwe tayri kama shelf ushaweka kama kabati ushanunua yani kila kitu kiwe tayri kisha mwisho kabisa mkononi ndio uwe na 10M hapo k.koo karibu sanaa.

Tofauti na hapo 10M k.koo hyo hyo kodi mpk ukarabati wa frem nk nk.utabakiwa na mtaji wa machinga muuza mitumba tena aliesambaza chini na sio dukani.

Chakufanya : Hiyo 10m ni nyingi sana tena itakutosha kama utaamua kwenda k.koo na ukaachana na biashara za kwenye mafrem..Waza biashara yyte kwa mtaji huo then tafuta vijana weka bidhaa yako popote utakapoona pana nafasi then Piga hela.

Ukiwaza Frem k.koo mtaji wako usiwe chini ya 20M otherwise uwe unataka vile vichochoro vya frem k.koo kwa wachina wauza yebo yebo..kama unaongelea vi frem vile sawa 10M itakutosha..frem ambayo ukikaa miguu inabembea nnje.

Nunua pamba za kiume mkuu then panga mahali Achana na GOLI hutoliweza atleast subiri mtaji ufike 50M
nashukuru sana kwa ushauri mkuu
 
kila sehem hakuna issue kama haupo tayari kupambana

All The Best.

Ushauri:

Tafuta Frame sehem ya Kituo cha Mabasi (Mwenge, Makumbusho or Tegeta whatsoever)
Fanya hyo biz unayotaka kufanya...ila kkoo binafsi sikushauri labda baadae mambo yakinawiri.
 
Watu wamefilisika sana kariakooo,biashara hamna jaribu mazao kidogo eg mchele hata biashara ikiwa ngumu unaweza badiri yeyote kwan mtaji unakuwa mdogo
 
Back
Top Bottom