K.KOO 10M mkuuu unatakiwa uwe tayri ushalipia frem then hiyo 10M ndio iwe mtaji na sio frem iwe inahitaji marekebisho..yani frem iwe tayri kama shelf ushaweka kama kabati ushanunua yani kila kitu kiwe tayri kisha mwisho kabisa mkononi ndio uwe na 10M hapo k.koo karibu sanaa.
Tofauti na hapo 10M k.koo hyo hyo kodi mpk ukarabati wa frem nk nk.utabakiwa na mtaji wa machinga muuza mitumba tena aliesambaza chini na sio dukani.
Chakufanya : Hiyo 10m ni nyingi sana tena itakutosha kama utaamua kwenda k.koo na ukaachana na biashara za kwenye mafrem..Waza biashara yyte kwa mtaji huo then tafuta vijana weka bidhaa yako popote utakapoona pana nafasi then Piga hela.
Ukiwaza Frem k.koo mtaji wako usiwe chini ya 20M otherwise uwe unataka vile vichochoro vya frem k.koo kwa wachina wauza yebo yebo..kama unaongelea vi frem vile sawa 10M itakutosha..frem ambayo ukikaa miguu inabembea nnje.
Nunua pamba za kiume mkuu then panga mahali Achana na GOLI hutoliweza atleast subiri mtaji ufike 50M