Naomba ushauri kuhusu biashara ya kukopesha

Msukusu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
234
Reaction score
451
Wadau Habari Za Muda Huu. Natumaini Nyote Wazima Wa Afya. Nahitaji Ushauri Nilikuwa Nina Wazo La Kufanya Biashara Ya Kukopesha Watu Fedha Kwa Kwa Riba Ya 20% Kwa Wafanyakazi tu na Sio Wafanyabiashara.

Je, nitafanikiwa?
 
Sawa unakopesha wafanyakazi, Mkopo anakuwa anakatwa moja kwa moja Benki au? Ama wakipokea mishahara wanakuletea mkononi?
 
Napeleka Standing Order Bank Kwa Hiyo Itakuwa Inakatwa Moja Kwa Moja.
 
Wadau Habari Za Muda Huu. Natumaini Nyote Wazima Wa Afya. Nahitaji Ushauri Nilikuwa Nina Wazo La Kufanya Biashara Ya Kukopesha Watu Fedha Kwa Kwa Riba Ya 20% Kwa Wafanyakazi tu na Sio Wafanyabiashara.

Je, nitafanikiwa?
Nimekupm mkuu tuongee mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…