Magari ya kukodisha
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 412
- 695
Wakuu habari za miaka
Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema
Kwa mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza kitimoto roast au ya kuchoma na makange ya kitimoto naomba anijuze anipe ushaur na changamoto za kuchukua. Ikikupendeza niambie kila unachofahamu kuhusu biashara hii
Natanguliza shukrani za dhati