Magari ya kukodisha
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 412
- 695
Uwe unatoa details zakutosha kuanzia eneo upo nk alafu bila picture hainogiWakuu habari za miaka
Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema
Kwa mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza kitimoto roast au ya kuchoma na makange ya kitimoto naomba anijuze anipe ushaur na changamoto za kuchukua
Ikikupendeza niambie kila unachofahamu kuhusu biashara hii
Natanguliza shukrani za dhati
SawaUwe unatoa details zakutosha kuanzia eneo upo nk alafu bila picture hainogi
KitimotoWakuu habari za miaka
Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema
Kwa mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza kitimoto roast au ya kuchoma na makange ya kitimoto naomba anijuze anipe ushaur na changamoto za kuchukua
Ikikupendeza niambie kila unachofahamu kuhusu biashara hii
Natanguliza shukrani za dhati
Tafuta connection na wateja ivyo tuWakuu habari za miaka
Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema
Kwa mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza kitimoto roast au ya kuchoma na makange ya kitimoto naomba anijuze anipe ushaur na changamoto za kuchukua
Ikikupendeza niambie kila unachofahamu kuhusu biashara hii
Natanguliza shukrani za dhati
Kila biashara inalipa ndio maana wafanyabiashara wa biadhara hiyo wapo.Habari wakuu?? Naomba msaada kwa biashara ya nyama( kitmoto) inalipaa
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app