Naomba ushauri kuhusu biashara ya Kuuza Reem Paper

Section 20

New Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
4
Reaction score
2
Jamani wana Jamvi naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya kuuza reem paper kwa bei ya jumla. Naomba kujua inalipa kwa kiasi gani na changamoto zake ni zipi.
 
Jamani wana Jamvi naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya kuuza reem paper kwa bei ya jumla. Naomba kujua inalipa kwa kiasi gani na changamoto zake ni zipi.
Ni biashara nzuri changamoto ni solo coz wauzaji ni wengi.
 
Hata mimi natafta hiyo kitu mwenye kujua duka la jumla lenye bei nzuri naomba contact tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…