Subiri wajeNataka kuanza hii biashara ya kuuza simu za jumla. Hasa ndogo ndogo. Tafadhali Mwenye kujua abc zake anisaidie.
Mwenye contact aliwahi kufanya. Ama anayefanya hii biashara. Minimum unaweza anza na msingi kiasi gani, unatakiwa kuanza kwa kununua pieces ngapi.
Naombeni mawazo wadau
Upo mkoa gani tuanzie haoNataka kuanza hii biashara ya kuuza simu za jumla. Hasa ndogo ndogo. Tafadhali Mwenye kujua abc zake anisaidie.
Mwenye contact aliwahi kufanya. Ama anayefanya hii biashara. Minimum unaweza anza na msingi kiasi gani, unatakiwa kuanza kwa kununua pieces ngapi.
Naombeni mawazo wadau
Biashara,nzuri kama una mtaji hela haipoteiMwanza