Naomba ushauri kuhusu biashara ya lodge

Naomba ushauri kuhusu biashara ya lodge

Kitanda tu kikubwa na godoro kubwa, mashuka makubwa, bafu na choo humo humo, feni, na TV umemaliza kila kitu, ikiwa na vigae lodge itakuwa safiii
 
Unataka lodge yako uweke location gani

Lodge yako pangilia Bei kwa kulinganisha na lodge zingine jirani yako

Kama upo jirani na lodge tofauti basi fanya survey kujua baadhi ya mambo bei , huduma, vifaa

Vipi vingi naweza kukushauri kuhusu lodge na ukatoboa mazima inategemea na uwezo wako kiuchumi na akili yako.
 
nyumbaIpo maeneo ya Dodoma karibu na chuo cha mipango.. Ina vyumba kumi.. Nimechimba na kisima cha maji.. kwa saivi nimeipangisha lakini nataka iwe lodge.. ndomaan nataka kupata mawazo ya wadau
 
Unataka lodge yako uweke location gani

Lodge yako pangilia Bei kwa kulinganisha na lodge zingine jirani yako

Kama upo jirani na lodge tofauti basi fanya survey kujua baadhi ya mambo bei , huduma, vifaa

Vipi vingi naweza kukushauri kuhusu lodge na ukatoboa mazima inategemea na uwezo wako kiuchumi na akili yako.
nyumbaIpo maeneo ya Dodoma karibu na chuo cha mipango.. Ina vyumba kumi.. Nimechimba na kisima cha maji.. kwa saivi nimeipangisha lakini nataka iwe lodge.. ndomaan nataka kupata mawazo
 
Sio mbaya unaweza kufanya lodges lakini inakubidi ufanye ubunifu wa kutosha KATIKA kutengeneza mazingira ya kuvutia wateja, lakini nyumba ya kupanga Inaleta pesa kwa uhakika zaidi.

ikiwa ni lodge basi ongeza vyumba vya kutosha ili kuzuia usumbufu wa wateja pindi watakapo ongezeka katika lodge.
 
Back
Top Bottom