Lomaa lolusa
Member
- May 15, 2017
- 30
- 45
nyumbaIpo maeneo ya Dodoma karibu na chuo cha mipango.. Ina vyumba kumi.. Nimechimba na kisima cha maji.. kwa saivi nimeipangisha lakini nataka iwe lodge.. ndomaan nataka kupata mawazo ya wadauUnataka lodge yako uweke location gani
Lodge yako pangilia Bei kwa kulinganisha na lodge zingine jirani yako
Kama upo jirani na lodge tofauti basi fanya survey kujua baadhi ya mambo bei , huduma, vifaa
Vipi vingi naweza kukushauri kuhusu lodge na ukatoboa mazima inategemea na uwezo wako kiuchumi na akili yako.
nyumbaIpo maeneo ya Dodoma karibu na chuo cha mipango.. Ina vyumba kumi.. Nimechimba na kisima cha maji.. kwa saivi nimeipangisha lakini nataka iwe lodge.. ndomaan nataka kupata mawazoUnataka lodge yako uweke location gani
Lodge yako pangilia Bei kwa kulinganisha na lodge zingine jirani yako
Kama upo jirani na lodge tofauti basi fanya survey kujua baadhi ya mambo bei , huduma, vifaa
Vipi vingi naweza kukushauri kuhusu lodge na ukatoboa mazima inategemea na uwezo wako kiuchumi na akili yako.
Hapo mbingu inaingiaje sasaUkimiliki lodge sahau kwenda Mbinguni
Haha tabora hiyo nilikutana na hii hali 😀😀Vitanda vya cement kuzuia kelele za wanaokuja kushughulika