Hot27
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 372
- 691
Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF, tukiendelea na mapambano ya kila siku
Kwenye harakati za mapambano nimefikiria kutafuta eneo kwa ajili ya kuuza maziwa ikibidi kuongeza na bites na vitu vingine.
Nimefikiria kupata maziwa fresh, maziwa mtindi, Asas (pamoja na yogurt), Tanga Fresh na mengineyo kwa pamoja ili kuwa na uwanja mpana kwa wateja. Kisha niwe na glass mbili-tatu, meza moja na viti hata viwili kwa kuanzia.
NAOMBA NIPATE MSAADA WA :-
1. ENEO
Nimekuwa nikitafuta eneo Buguruni Malapa na Ilala, kwa mwenye fremu maeneo hayo au hata pengine palipochagamka namkaribisha
2. Kwa aliyewahi kufanya je inalipa?
4. Changamoto zake ni zipi?
NYONGEZA.
Je, nikiamua kudeal na maziwa ya aina moja tu ya kiwandani mfano Asas pekee kuna faida yoyote kutoka kwao (Kwa kuwa kama wakala wao)?