Naomba ushauri kuhusu biashara ya maziwa ya ng'ombe

BEST ONE BOY

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
309
Reaction score
221
Habari za wakati huu wana if....

Naomba kujuzwa kwa yoyote mwenye uelewa kuhusiana na biashara ya maziwa ya ng'ombe kuanzia lita 100 mpaka mia tano je mtu unaweza anzisha small firm ya package za maziwa ...PIA vipi kuhusu vifaa kama vipo bei zake na masuala mengine mana natarajia kuanza biashara hii mambo yakikaa sawa soon as possible
 
Kama unafanya packaging mwenyewe inabidi uwekane sawa mapema na watu wa TFDA na wengineo kuhusu vibali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi haukupata wadaau wa maziwa kweli?
 
Back
Top Bottom