Habari za wakati huu wana if....
Naomba kujuzwa kwa yoyote mwenye uelewa kuhusiana na biashara ya maziwa ya ng'ombe kuanzia lita 100 mpaka mia tano je mtu unaweza anzisha small firm ya package za maziwa ...PIA vipi kuhusu vifaa kama vipo bei zake na masuala mengine mana natarajia kuanza biashara hii mambo yakikaa sawa soon as possible