Biso na Biso
Member
- Dec 22, 2014
- 10
- 0
Ndugu Mdau
Habari yako.
Kwa muda nimekuwa nikifikiria uwezekano wa mimi kujiingiza katika biashara ya mbao (haswa kutoka Iringa)
Nilichoambulia ni kwamba biashara hii ya mbao.
1.huweza kufanyika either kwa kununua mbao toka wakulima moja kwa moja
2.kununua shamba na wewe mwenyewe kupasua mbao na kuzisafirisha mjini kwa biashara.
Ninaomba mchanganuo wa kina toka kwako wewe mdau ambaye una ueledi mkubwa katika hili kwani kuna masuala mengi kuhusiana na hii biashara ambayo siyatambui
Naambiwa kuna mambo ya vibali,namna ya usafirishaji na gharama zake, risks zilizo katika aina hii ya biashara, gharama za usafirishaji, aina ya mbao bora namna bora ya kuuza hizi mbao na kadhalika.
asante kwa ushurikiano wako.