Philemon2008 Member Joined Dec 17, 2022 Posts 20 Reaction score 11 Dec 27, 2022 #1 Habari za wakati huu wapendwa. Naomba kufahamu Bei halisi ya ununuzi wa gunia za Mahindi, mchele, maharage. Pia gharama za usafirishaji kutoka mikoa mbali mbali Nchini Tanzania 🇹🇿 Asante.
Habari za wakati huu wapendwa. Naomba kufahamu Bei halisi ya ununuzi wa gunia za Mahindi, mchele, maharage. Pia gharama za usafirishaji kutoka mikoa mbali mbali Nchini Tanzania 🇹🇿 Asante.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Dec 28, 2022 #2 Unaomba ushauli kutokea Nairobi au kampala?
Philemon2008 Member Joined Dec 17, 2022 Posts 20 Reaction score 11 Dec 28, 2022 Thread starter #3 kawombe said: Unaomba ushauli kutokea Nairobi au kampala? Click to expand... Tanzania