Eric Salema
New Member
- Apr 24, 2022
- 1
- 2
Habari zenu wadau?
Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku. Mimi ni kijana mtafutaji. Tafadhali naomba ushauri kwa wale wenye ujuzi kuhusiana na suala la Studio za kuuza movie na game stations.
Je ikiwa nina mtaji wa milion 3 itatosha kufungua ofisi ya kurusha movie na miziki? Hali kadhalika play station (PS)?
Tafadhali naomba ushauri na ufafanuzi katika hili. Location niliyopo nimefanya tathmini inafaa kwa biashara hii.