Luckme
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 713
- 758
Wapendwa habarini za muda huu....
Mimi nina wazo la kufanya biashara ya urembo kwajiri ya kinadada na wakaka... Kuuza mafuta, lotion, hereni, bangiri vibanio na mambo mengine kama hayo ....
Naombeni mnipe mwanga wa nianze na mtaji wa shilingi ngapi pia changamoto za hio biashara na faida zake na machimbo ya kujumua vitu ivo kama ni kariakoo au wapi....
Tufunguane macho jamani natanguliza shukrani zangu
am better here