Naomba ushauri kuhusu Biashara ya vipodozi vya urembo kwa Wanaume na Wanawake

Luckme

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
713
Reaction score
758
Wapendwa habarini za muda huu....

Mimi nina wazo la kufanya biashara ya urembo kwajiri ya kinadada na wakaka... Kuuza mafuta, lotion, hereni, bangiri vibanio na mambo mengine kama hayo ....

Naombeni mnipe mwanga wa nianze na mtaji wa shilingi ngapi pia changamoto za hio biashara na faida zake na machimbo ya kujumua vitu ivo kama ni kariakoo au wapi....

Tufunguane macho jamani natanguliza shukrani zangu

am better here
 
Chimbo kariakoo oposite na big born,kuna jengo la rangi ya kijani kibichi kama skosei,wanauza maurembo pale ya kila aina,ukienda pale utapata idea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…