Naomba ushauri kuhusu biashara ya vitambaa vya kushona

Naomba ushauri kuhusu biashara ya vitambaa vya kushona

Joined
Jul 28, 2021
Posts
7
Reaction score
4
Naombeni msaada kidogo tafadhali; ningependa kufahamu mtaji wa chini wa kuanzisha duka la vitambaa vya kushona nguo.
 
Huu uzi wadau njooni mfunguke, tupate mawili matatu.
 
Back
Top Bottom