Yelawolf49
Member
- Sep 20, 2017
- 73
- 65
Shukran[emoji122][emoji122]Tani moja ya chuma ni laki6, tan ya aluminium ni zaidi ya mil1 nafikiri ni kama mil1.2 cha muhimu kwenye hiyo biashara ni connection ya kupata mzigo na pa kuuzia baasi kuna watu wanateka hata magari wanakata kata....kunao wanaingia humo zambia viwandani, mavyuma ya tanesco ukiwa na connection, ni biashara nzuri inayohitaji pia kukaza roho
Well said broChalii kama una mpunga walau 7 to 8 unaweza anzaa na chuma pekee achana na ma brass copper etc. hilo la polisi ni ww na nyokaa wako kuwa na msimamo, achana na nyara za serikali kama reli etc. vingine vyote vinazungumizika piga moyo konde anza
Uko mkoa gani mkuu?Mimi nina chuma zapata kama kilo 700... ni wapi sehem sahihi kuziuza.. naogopa uku mitaani
Nipo dar - tegetaUko mkoa gani mkuu?
Mkuu kwa dar labda nikuulizie mm niko based arusha na moshiNipo dar - tegeta
Nisaidie kwa ilo... ambao wana bei nzuri itakua poa...Mkuu kwa dar labda nikuulizie mm niko based arusha na moshi