Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Mie nitakuambia jambo bila kukuambia nini cha kufanya, ambapo hakuna mtu hapa JF anapaswa kukuamulia.

NI hivi, katika mazingira ya mke kujua unajua anatembea au ametembea na mwanaume mwingine, na wewe kuendelea kukaa nae, ni kwamba sasa unahatarisha uhai wako. Hakuna mwanamke anaeamini mwanaume anaweza kusahau na kusamehe kabisa kosa la usaliti wa mwanamke. Sio culture ya sisi Waafrika kusamehe mke msaliti, bali mwanaume ndio wanatarajia mke aelewe ikiwa mume itajulikana ana mchepuko.

Kumbuka kwamba unampa mazingira ya uncertainty katika maisha yake, na huenda akahisi kuna siku unaweza hata kumuua kwa hasira. Kwa hiyo anaweza kuamua kukuwahi wewe. Na akikuwahi wewe ujue utaondoka ukiwa umemwacha na heshima na huruma ya kuitwa mjane, kuliko ukimwacha kama mwanamke aliekusaliti. Hakuna mwanamke atakaechagua jamii imtambue aliachwa kwa usaliti wa ndoa. Siku zote atachagua kuwa mjane na sio msaliti.

Sasa katika mazingira haya, fanya uamuzi, ukijua una watoto na huyo mwanamke.
 
Kiongozi kwani ulizaliwa nje ya ndoa? Au mama ako alimsaliti baba ake?

Binafsi yote matokeo ya maisha hivo siogopi nimejipanga kukabiliana nayo
Wewe mambo ya kuzaliwa au kushusha, wewe jua ni mdhaifu na wanawake huwawezi.

Una Cv chafu,,huna uwezo wa kuwahandle wanawake.Kwa mustakabali wa afya yako ya akili baki single.
 
Mwanamke Hata Uweje kwake lazima utachapiwa tu Hakunaga njia ya kumfanya mwanamke asikusaliti labda utumie which craft
 
Yaani mke wako akuambukize Magonjwa ya ngono,ufe ndani ya miaka 8 ijayo,......kwa kisingizio cha amani wakati una nafasi ya kumuacha na ukaishi miaka 60 ijayo?......una uhakika wewe sio FALA?
Tafsiri ya ufala inategemea na akili ya mtu.

Nilichosema ni heri usijue (usimchunguze) maana ukiyajua yatakuumiza pengine hata kwa kufanya jinai... Swala la magonjwa hayapatikani kwenye ndoa tuu mbona ma bachela kibao wanaathirika
 
Kama Unampenda Mkeo Samehe Mkuu.Hakuna Mkamilifu.Wewe ndiye mwenye makosa hakuna mahusiano ya mbali. Mwanamke anaendeshwa na Hisia wewe ulitegemea nyege zikimzidi ajimwagie maji ya moto?Pole
 
Mwanamke Hata Uweje kwake lazima utachapiwa tu Hakunaga njia ya kumfanya mwanamke asikusaliti labda utumie which craft
Acheni kujifariji,,,,,pigeni mazoezi ache kufuga kitambi.

Piga hiyo papuchi staili zote,chakaze kisawasawa mtoto awe anakuona hauna wa kukulinganisha nae.

Mwanamke dawa yake kupiga show acheni uzembe na kujifariji.


#Kataa ndoa,ndoa ni uhuni!!!
 
Wewe mambo ya kuzaliwa au kushusha, wewe jua ni mdhaifu na wanawake huwawezi.

Una Cv chafu,,huna uwezo wa kuwahandle wanawake.Kwa mustakabali wa afya yako ya akili baki single.
Nashukuru binafsi nishajua tatizo langu na mimeamua kulikabili... Ila nakukumbusha kuzaliwa nje ya ndoa au baba ako kutelekezwa na mama yako sio tatizo la ujumla
 
Mwanaume kweli wewe hili ni la kutoa uamuzi palepale tu aliposema kafanya nae mara moja...hukutaka kuendelea zaidi.
Achana nae mara moja alafu useme upo Lindi sehemu gani nikupatie kigori kikuliwaze siku mbili hizi huku ukitafuta mke mwingine.
 
Tafsiri ya ufala inategemea na akili ya mtu.

Nilichosema ni heri usijue (usimchunguze) maana ukiyajua yatakuumiza pengine hata kwa kufanya jinai... Swala la magonjwa hayapatikani kwenye ndoa tuu mbona ma bachela kibao wanaathirika
kutokujua haiwezekani labda usiishi kwenye jamii,,,,iko hivi jamii ikikuona ww ni zoba sana watakuacha alafu mwisho watamnyetishia roporopo mmoja na huyo atakuchana kwa mfumo wa kuropoka na utajua tu😂😂😂😂😂


Jamii huwa haitaki kufuga mwanaume dhaifu ukiona wewe dhaifu usiendelee kujidhalilisha. Kubali tu hiyo ligi ya kuwa na ndoa kati ya wenye ndoa wewe huwezi. Stay SINGLE!!!!
 
Mdogo angu sikiza nikujuze swala langu likotofauti na unavyolifikiria hivyo kunifikoria hivo ni ujinga usioujua....

Iko hivi katika maisha lolote linaweza tokea kikubwa ni kujiandaa kukabiliana nalo.

Binafsi nikiamua hata kurudisha ndoa yangu ya mwanzo ni jambo rahisi kutokea lakini ni gumu kihisia... Kifupi najua nilipijikwaa mpaka sasa.
 
Nashukuru binafsi nishajua tatizo langu na mimeamua kulikabili... Ila nakukumbusha kuzaliwa nje ya ndoa au baba ako kutelekezwa na mama yako sio tatizo la ujumla
Hahahahaaaa mimi nimezaliwa kwenye ndoa wewe fala. Njoo na point acha kutapatatapa, mimi nimekuzwa kwenye familia ambayo baba anauishi ubaba na mama anauishi umama.Na ndo leo mimi nimerithi uanaume kutoka kwa baba bora na ntauishi na kuwarithisha wanangu.

Wewe ambaye hukua na fatherfigure ndo huyo hujui hata kuishi na mwanamke kwakuwa umekua umelelewa na SINGLEMAZA au BABAKO ALIKUWA WEAK kwenye hiyo familia yenu hivyo hujui na hujapata kujifunza chochote kutoka kwa babako.

Poor you!!!! huiwezi ndoa kaa pembeni pumzika jifunze kupiga na kumsugua vizuri mwanamke kisha ukiweza ndo ufikirie kuoa.

Anza tizi alafu uwe unatongoza mara kwa mara uwazoee wanawake, inaonekana ulikimbilia kuoa bila kuwajua vizuri wanawake. Jifunze kupiga miti kwanza kabla hujachapiwa na huyo mke mwingine KANYABOYA WEWE!!!!
 
Msaliti hua hasamehewi hata kwa bahati mbaya, msaliti hua haachi usaliti atabadilisha tuu mbinu za kukusaliti ili usijue
 
🤣🤣🤣🤣We kijamaa kichawi kweli...
Sasa ka umelelewa na wazazi wote hii akili ya kataa ndoa umeitoa wap?? Au umesomea Meri Meri mabasi ya njano uzungi nini dad zisi mamie zat???
 
Wewe umetombewa hunahaki ya kuongea chochote tia kimya😂😂😂

Hujui kut*mba ndomaana ukachitiwa, na kuchapiwa ni siri ya ndani wewe jando hujawekwa nini???,,,,umeaibisha mababu zako huko kuzimu,saivi wanasonya tu🤣🤣🤣🤣


#KATAA NDOA 3-0 MABROO LIALIA
 
Kwa ivo wewe ndo mastar mto...mb..j kuliko wanaume wote?? Kweli kataa ndoa machoko
 
Jaman jaman , tatizo sio kugongewa tu , ila kagongwaje ??!!!

Katika watu wabaya kabisa ni madereva bodaboda na madereva wengine,yani wote ni wahuni wahuni tu.
Kwanza dereva boda boda mara nyingi hawana wake ,same applied kwa madereva hiace walio wengi.
Sasa akishika mke wako mtu wa namna hiyo kazi ipo,mkeo atawekwa mikao yate ,atabinuliwa,atalazwa chali,ataninamishwa huku na kule ili mladi tu shuguri pevu ifanyike tena ki rough rider.Harafu hao jamaa huwa ni waumini wa peku peku,hakuna kinga hapo.

Mwanamke ni mpunbavu sana akianza kukusaliti,niliwahi kusikiliza audio moja mke wa mtu analiwa halafu anaambiwa amtukane mme wake tena matusi makali,na mwanamke huyo akawa anatukana kweli,na baada ya mda akawa anaomba akojolewe ndani ,yani inauma mno

Hawa wanawake hawa,mimi sinaga urafiki nao,nacheka nao kinafiki tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…