Duuu,mbaya hiiBinamu yangu alibeba mimba akiwa jeshini baada ya form four na kozi fulani chuo. Matron alimrudisha bila hata taarifa nyumbani, tuliambiwa hataki chuo nauli itumwe arudishwe. Hakupewa mawasiliano kambini mpaka alipoanza safari. Mtoto wake wa kike sasa ana miaka 2 hivi.
Kambi iko Arusha sijui ni Makuyuni au kuna nyingine.
Asante mkuubora umpeleke veta au uchague uamuzi mwingine il kw jeshi sikushauri kabisa
Mkuu umemshauri vizuri sana akitoka JKT Mujibu Ndo ataelewa somo hapo.Mkazanie afanye vizuri kwenye masomo ya sayansi alienda form 5&6 kabla ya chuo ataenda JKT kwa mujibu wa Sheria kule ataona japo Maisha ya jeshi kama atakuwa na moyo wa kupenda kazi hiyo.
Mpeleke nje ya nchi akapige Bachelor of Milltary Science akirudi huku au huko huko atapata kazi ya ndoto yake.
Asante mkuuMkuu umemshauri vizuri sana akitoka JKT Mujibu Ndo ataelewa somo hapo.
Shukrani boss
ShukraniMruhusu aende tu..jeshi linataka wazalendo kama hao.