hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Siku za hivi karibuni naona kumeibuka dawa nyingi za kutoa sumu mwilini na nyingi naona wanazungusha hawa masai lakini hizo dawa ukinywa lazima uarishe sana na wanasema sumu ndio inatoka kwa style hiyo.
Kuna jamaa yangu amenunua dawa ya kutoa sumu mwilini juzi amehalisha nusu kufa.
Na hilo ndio limenigusa nakuja kuomba ushauri kwa wataalamu wa afya wa humu jf.
Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app