Mkuu umenena vema kabisa,wakati mwingine unashindwa kumuelewa mtu,wengi wanadanganywa kisaikolojia na wanashikika kwelikweli ,kwanza kapimwa na nani akaambiwa ana sumu,na ni sumu ya aina gani ,na imetoka wapi...kifupi shule ya kawaida tu watanzania asilimia kubwa tunakuwa hatuna ,inafikia hata ile hali ya "ku'reason" vitu vya kawaida tu tunakwama na watu wanatuibia pesa nyingi tu.mkuu tatizo la wa tz wengi ni elimu sumu mwilini inatolewa na figo kma sumu zimezidi manake figo imefeli hiyo mnayoambiwa kutoa sumu ni njia rahis ya kuwaibia tu hamna lolote
ni kweli kabisa mtu anaambiwa na sumu mwilini haambiwi sumu gai imetokana na nini yaani mtu mwenye afya timamu ana hangaika kunywa dawa za kuarisha ili atoe sumu kama unataka ona watu wenye sumu mwilini enda muhimbili kitego cha dialysis ujue sumu inaweza kukufanya kitu gani.Mkuu umenena vema kabisa,wakati mwingine unashindwa kumuelewa mtu,wengi wanadanganywa kisaikolojia na wanashikika kwelikweli ,kwanza kapimwa na nani akaambiwa ana sumu,na ni sumu ya aina gani ,na imetoka wapi...kifupi shule ya kawaida tu watanzania asilimia kubwa tunakuwa hatuna ,inafikia hata ile hali ya "ku'reason" vitu vya kawaida tu tunakwama na watu wanatuibia pesa nyingi tu.
Yap! kuna mtaalam niliwahi kumkuta pale "Dr Kweka,young boy but very smart"ni kweli kabisa mtu anaambiwa na sumu mwilini haambiwi sumu gai imetokana na nini yaani mtu mwenye afya timamu ana hangaika kunywa dawa za kuarisha ili atoe sumu kama unataka ona watu wenye sumu mwilini enda muhimbili kitego cha dialysis ujue sumu inaweza kukufanya kitu gani.
Mheshimiwa ni bora kabisa ukatoa tafasiri ya sumu mwilini kwanza ,ukitumia ufafanuzi dhaifu kama ulioutoa bado utawapeleka watanzania wenzetu kule kule kwenye kusaka dawa ya kutoa sumu mwilini kitu ambacho ni kuchezea akili za watu pamoja na pesa zao,tusaidiane kwa hili,unapopata 'complain' yoyote mwilini jua kuna kitu hakiko sawa sawa,sumu unayoioongea hasa ni nini? je ni sukari imezidi kwenye 'blood circulation',je ni 'uric acid level' imekuwa nyingi kwenye 'blood circulation',je ni 'cholesterol level' imekuwa nyingi kwenye 'blood circulation'? au mgonjwa ame ji 'expose' kwenye 'toxic or harmful products', vyote hivyo huaashiria 'presence of medical illness or certain kind of problem in the body' amabavyo kitaalamu vina 'intervention' zake namana ya kuzi 'manage'.Dawa ya sumu ni maziwa fresh na kunywa maji kwa wingi. Make sure haukojoi mkojo wa njano. Mkojo ukiwa wa njano ujue maji yamepungua mwilini na figo unazipa kazi kubwa ya kuchuja sumu mwilini.
Mkuu uko sawa,ila si sawa kwa utimilifu.Mfano urea ni chief component kwenye mkojo.Kama mkojo hautatoka mwilini na urea ikazidi ni ishara ya hitilafu fulani mwilini,na hiyo hitilafu lazima ifanyiwe matibabu,yaweza kuwa ni shida ya figo,basi figo kama figo zitibiwe.Nadhani hapa mto mada alimaanisha sumu zinazosababishwa na vyakula tunavyokula na si sumu za chemicals kama sumu ya panya, mende and the like. Lakini pia, kuna sumu zinazosababishwa na madawa tunayokunywa kwa ajili ya kutibu maradhi mbalimbali kama vile maralia, moyo, n.k.
Kwa maisha ya kawaida, inapotokea mtu amekunywa madawa ya binadamu na akazidisha kiwango kilichopangwa na daktari, mara nyingi mtu huyo inashauriwa kupewa maziwa fresh kama huduma ya kwanza kabla ya kumuona daktari kwa hatua zaidi za matibabu. Pia, unapokuwa kwenye dozi ya kutibu ugonjwa wowote, madaktari wanakataza usinywe maziwa ili kuruhusu dawa zifanye kazi vizuri.
Sumu zinazosababishwa na vyakula kama vile kuzidi kwa urea kwenye mkojo, unashauriwa unywe maji mengi ili kuondoa sumu hiyo kwani inapozidi hutengeneza vimawe ambavyo wataalamu wanaviita Kidney stones'. Nadhani mtoa mada alimaanisha hivyo. Selekwa
smart!Mkuu Selekwa, soma kwenye link hii: 14 Ways to Cleanse the Body from Toxins | Stuart Wilde imeelezea kwa upana juu ya uingizaji, utunzaji na utoaji wa sumu katika mwili wa binadamu
Nimeipitia ni article nzuri kujifunza namna ya kuishi na kuwa na afya bora ila 'still' haijabeba 'scientific basis' za kushawishi sana kitaalamu,simjui sana mwandishi wa hii 'article may be' anaweza kuwa ni 'Meta-physician',zaidi angesema tu 'how to live healthier'smart!