Naomba ushauri kuhusu fursa za kilimo na ufugaji

Free Again

Senior Member
Joined
Dec 20, 2015
Posts
114
Reaction score
93
Habari za majukumu!

Jamani naomba kujua ni sehemu gani( mkoa au wilaya) ambayo ni nzuri kwa kilimo chochote iwe mahindi,mpunga,karanga,alizeti nk.
Nataka nijikite rasmi kwenye kilimo ila kabla sijachakua sehemu ya kwenda nimeona niulizie wadau! Penye wengi hariharibiki neno!

Karibu kwa michango ya mawazo, asante!
 
Wazo zuri,,,kabla ya yote ushawahi kulima zao lolote,yaaani ushawahi lima au ndo unataka uanze kilimo?
 
Back
Top Bottom