Free Again
Senior Member
- Dec 20, 2015
- 114
- 93
Asante ndugu yangKilindi Tanga, nina mashamba huko ni pazuri
Asante ndugu yangRuvuma-mahindi.
Morogoro-mpunga
Dodoma na Singida-alizeti.
Hv ruvuma alzet haikubal au vp ndugu zanguRuvuma-mahindi.
Morogoro-mpunga
Dodoma na Singida-alizeti.
Kuna mvua nyingi, alizeti haitaki mvua nyingi,labda upande mwishoni mwa mvua.Hv ruvuma alzet haikubal au vp ndugu zangu
Wazo zuri,,,kabla ya yote ushawahi kulima zao lolote,yaaani ushawahi lima au ndo unataka uanze kilimo?Habari za majukumu!
Jamani naomba kujua ni sehemu gani( mkoa au wilaya) ambayo ni nzuri kwa kilimo chochote iwe mahindi,mpunga,karanga,alizeti nk.
Nataka nijikite rasmi kwenye kilimo ila kabla sijachakua sehemu ya kwenda nimeona niulizie wadau! Penye wengi hariharibiki neno!
Karibu kwa michango ya mawazo, asante!
Nishalima San ndugu sema mazingira niliyopo yana changamoto nyingi sanaWazo zuri,,,kabla ya yote ushawahi kulima zao lolote,yaaani ushawahi lima au ndo unataka uanze kilimo?