| Mileage | Year | Engine | Trans. | Fuel |
| 121,307 km | 2008/7 | 2,260cc | AT | Petrol |
| Max.Cap | |||
|---|---|---|---|
| Ref. No. | BK223863 | Mileage | 121,307 km |
| Chassis No. | LFACTMWNX82000402 | Engine Code | L3 |
| Model Code | ABA-LFAL3F | Steering | Right |
| Engine Size | 2,260cc | Ext. Color | Silver |
| Location | YOKOHAMA | Fuel | Petrol |
| Version/Class | XLT | Seats | 5 |
| Drive | 4wheel drive | Doors | 5 |
| Transmission | Automatic | M3 | 14.343 |
| Registration Year/month | 2008/7 | Dimension | 4.48×1.84×1.74 m |
| Manufacture Year/month | N/A | Weight | 1,550 kg |
Naona kama vile ndipo nitakapoelekea teh teh teh team toyotaKama wewe ni mpole na hutaki makelele na watu go for RAV4 kisha utarudi hapa kunishukuru bila shuruti.
Aagize na fundi wake kabisa 🤣Aagize tu mafundi hawakosekani ila ajue tu maintainance costs hazitakuwa sawa na gari ya kijapani
Eeh itapendeza sanaAagize na fundi wake kabisa 🤣
Mzee Kigogo hii ndo escudo ipi naomba nipostie picha yake hapa jukwaaniHamna gari humo. BORA hata ujitwishe Escudo aka asante massawe
Mkuu hiyo miguu na viatu vyako, ndilo gari lako hilo! Hivyo na wewe unastahili kabisa kutembea kifua mbele.Sina gari Ila mzee kwa uzoefu wangu chukua ist au vitz hazili sana wese.
Viatu vinaisha soliMkuu hiyo miguu na viatu vyako, ndilo gari lako hilo! Hivyo na wewe unastahili kabisa kutembea kifua mbele.
Gari nzuri, spare parts zipo ila bei juu kidogo.Ubarikiwe sana mkuu vipi hii
VOLVO XC90 2005
Wasikukatishe tamaa hiyo ford ni gari nzuri. Niliagiza ya kwanza kesho naagiza tena lingine. Chukua gari zuri hilo. Nitafute nikupe more detaildHabari wadau wa jamiiforums,
Nimetokea kuipenda hii FORD ESCAPE XLT 2008, hizo chini ndiyo specs zake naombeni ushauri juu ya mafundi, spares na changamoto za gari hii. Thanks.
View attachment 1887962
SPECS
LOCATION YOKOHAMA
Mileage Year Engine Trans. Fuel 121,307 km 2008/7 2,260cc AT Petrol
Max.Cap Ref. No. BK223863 Mileage 121,307 km Chassis No. LFACTMWNX82000402 Engine Code L3 Model Code ABA-LFAL3F Steering Right Engine Size 2,260cc Ext. Color Silver Location YOKOHAMA Fuel Petrol Version/Class XLT Seats 5 Drive 4wheel drive Doors 5 Transmission Automatic M3 14.343 Registration
Year/month2008/7 Dimension 4.48×1.84×1.74 m Manufacture
Year/monthN/A Weight 1,550 kg
Duh hii kweli Massawe imenuna hatari