Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Ford Escape XLT 2008

@prondo njoo
 
Sisi Timu Kukariri Toyota hatuwez kukupa ushauri mzuri, Ila kwa kifupi niseme Gari ni matunzi yako tu, hivyo hiyo Ford Escape imiliki tu na uitunze vyema.
Bro wangu ana miliki Mazda Tribute ambae ni pacha wa Ford Escape na anadunda nayo vzr tu kiasi ameni-i spire nihame Toyota nami ntafute brand nyingne nitambe😋😋
 
Nimeh Nimehama Toyota mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…