Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 14, 2021 #21 Mleta mada natumae umepata muongozo...
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,593 Reaction score 5,848 Oct 14, 2021 #22 Chaliifrancisco said: Tafuta usafiri unaoendana na hali yako kiuchumi mkuu. Click to expand... Kweli ukiwa hata na Toyota ist ni kula misele bila mawazo ya gauge ya mafuta
Chaliifrancisco said: Tafuta usafiri unaoendana na hali yako kiuchumi mkuu. Click to expand... Kweli ukiwa hata na Toyota ist ni kula misele bila mawazo ya gauge ya mafuta
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Oct 14, 2021 #23 desayi said: Kweli ukiwa hata na Toyota ist ni kula misele bila mawazo ya gauge ya mafuta Click to expand... Ndio ndio mkuu. Ufahari wa nini wakati unajiumiza? Tembelea hata ka kirikuu ni usafiri na ukipata deal unapiga.
desayi said: Kweli ukiwa hata na Toyota ist ni kula misele bila mawazo ya gauge ya mafuta Click to expand... Ndio ndio mkuu. Ufahari wa nini wakati unajiumiza? Tembelea hata ka kirikuu ni usafiri na ukipata deal unapiga.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Oct 14, 2021 #24 kwa mshahara wako nunua gari ambayo cc haizidi 1500, ingekuwa ni mdada ningesema majukumu mengine ya familia yatakuwa covered na mme wake.
kwa mshahara wako nunua gari ambayo cc haizidi 1500, ingekuwa ni mdada ningesema majukumu mengine ya familia yatakuwa covered na mme wake.