Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Nissan Dualis

Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Nissan Dualis

Manyema

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Posts
683
Reaction score
1,801
Wakuu tukienda moja kwa moja kwenye mada, nipo kwenye mchakato wa kubadili kababy walker kangu hivyo basi katika pita pita zangu huku na kule mtandaoni nikakutana na huyu mnyama anaitwa Nissan Dualis na akanivutia sana.

Kwa hiyo nilikuwa naomba ushauri wenu kuhusu hiyo gari. Kuanzia kwenye ulaji wa mafuta, upatikanaji na gharama za spare parts, uimara wake kwa ujumla na udhaifu wake pia... Itanisaidia kufanya uamuzi sahihi.

Asanteni sana.

1606982546054.png

Nissan Dualis
 
We nunua tu. Nissan huwa anatengeneza gari bila ubabaishaji. Nakuhakikishia hutojuta
 
Back
Top Bottom