Wakuu tukienda moja kwa moja kwenye mada, nipo kwenye mchakato wa kubadili kababy walker kangu hivyo basi katika pita pita zangu huku na kule mtandaoni nikakutana na huyu mnyama anaitwa Nissan Dualis na akanivutia sana.
Kwa hiyo nilikuwa naomba ushauri wenu kuhusu hiyo gari. Kuanzia kwenye ulaji wa mafuta, upatikanaji na gharama za spare parts, uimara wake kwa ujumla na udhaifu wake pia... Itanisaidia kufanya uamuzi sahihi.