Naomba ushauri kuhusu hili la dawa na pombe leo

Naomba ushauri kuhusu hili la dawa na pombe leo

Nyamuleha jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
185
Reaction score
65
Nimemaliza dawa za typhod juzi ucku sasa nimemisi sana pombe je nikinywa kuna tatizo naombeni ushauri wadau
 
Inategemea dawa unazotumia, ila ikiwa ni jamii ya imidazole antibiotics kama metronidazole au tinidazole n.k unashauriwa kutotumia alcohol ndani ya masaa 48 baada ya kumaliza dozi yako....lakini ningeshauri usitumie angalau siku tatu mpaka tano kuzingatia hali uliyonayo....kwani issue sio kumaliza dozi ila vilevile ni muhimu kujua clinically unaendeleaje na kama typhoid imeisha au la!....unaweza ukahitaji dozi nyingine huku tayari ukiwa umeshajitishwa mtungi...afya kwanza... Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom