Inategemea dawa unazotumia, ila ikiwa ni jamii ya imidazole antibiotics kama metronidazole au tinidazole n.k unashauriwa kutotumia alcohol ndani ya masaa 48 baada ya kumaliza dozi yako....lakini ningeshauri usitumie angalau siku tatu mpaka tano kuzingatia hali uliyonayo....kwani issue sio kumaliza dozi ila vilevile ni muhimu kujua clinically unaendeleaje na kama typhoid imeisha au la!....unaweza ukahitaji dozi nyingine huku tayari ukiwa umeshajitishwa mtungi...afya kwanza... Ubarikiwe