Inaelekea wewe mwenyewe ujielewi?jihoji
kwanza wewe unataka nini then amua
nivigumu sana kupata ushauri sahihi.
Mi nafikir muda sahihi wa wewe kuoa ule ambao wewe mwenyewe unaona uko tayari.
well said miss j utajua kuwa mke mwema sana wewe
Nawashukuru sana wana jf kwa ushauri wenu mzuri mnaoendelea kunipatia. Nina imani utanisaidia sana.
Unataraji uoe mwaka 2011 mwezi gani?
Ntajie tarehe na mwezi wako uliozawa?
Au kwa maana nzuri ipi nyota yako?
Mi nafikir muda sahihi wa wewe kuoa ule ambao wewe mwenyewe unaona uko tayari.
Unataraji uoe mwaka 2011 mwezi gani?
Ntajie tarehe na mwezi wako uliozawa?
Au kwa maana nzuri ipi nyota yako?
Nilizaliwa Januari 3.