De Classic Boy Jr
Member
- Oct 28, 2015
- 52
- 45
Asante broosoma kwanza dogo
Mm ní kijana wa Kama miaka 22 na ní mwanafunzi wa chuo flan hapa DSM .kuna msichana nimekua nikidate nae for about three months now .mwanzon kbs hakuwa tayar hata kukutana na mm bt slowly akaanza kutaka tukutane private .sasa tatz ní kwamba kila nikimuambia kuhusu being couples hatoi majib yyt rather than smiling na kuanza kuona aibu. Imefika point nikaamua kukata mawasiliano nae ila after siku tatu anaanza kunitafuta tena
Yaan in short nishamkaushia kama mara tatu but she keeps coming back
Nifanyeje maana imekua too much
Ushaur plz
Piga kitabu bwana mdogo,acha mawazo ya ngonoMimi ni kijana wa Kama miaka 22 na ni mwanafunzi wa chuo flan hapa DSM .
Kuna msichana nimekuwa nikidate nae for about three months now.
Mwanzon kabisa hakuwa tayari hata kukutana na mimi but slowly akaanza kutaka tukutane private.
Sasa tatizo ni kwamba kila nikimuambia kuhusu being couples hatoi majib yeyote rather than smiling na kuanza kuona aibu. Imefika point nikaamua kukata mawasiliano nae ila after siku tatu anaanza kunitafuta tena
Yaan in short nishamkaushia kama mara tatu but she keeps coming back
Nifanyeje maana imekua too much