Naomba ushauri kuhusu iPhone

Naomba ushauri kuhusu iPhone

mbeta1983

Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
56
Reaction score
119
Jamani natamani ninunue iPhone, ila nakatishwa tamaa na watu wanaoniambia App zake na android haziko compatible.

Mara nitashindwa kushare docs na mtu wa android mara kuna applications ambazo ukiinstals zi akataa.

Naombeni mnaotumia mnisaidie mawazo kabla sijafanya maamuzi ya kunjnua iPhone 12 promax.
 
Kama umezoea yale ma whatsapp GB, usiende huko aifon mkuu.

Ni kweli kuna baadhi ya Apps huzipati.. ila ni chache tu.
 
IPhone 15 imetoka, vipapa na vinyeo vinateseka balaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nunua ujionee mwenyewe kusikiliza watu hutafanya cho chote
Mwanzoni ndo ugumu ulipo tu ila ukiishaizoe hutajuta kuinunua
 
Back
Top Bottom