Jamani nilifungua kampuni kwa shughuli za uvuvi na shughuli nyingine lakini lengo ilikuwa kufanya shghuli za uvuvi na uuzaji wa bidhaa zitakanzo na uvuvi, lakini mwezeshaji alizingua.
Ushauri wenu nauhitaji ni nini nifanye na mtaji ulikata
Kiwango nilichokuwa nimejipanga nacho kiliisha,kwani ilinichukua mda mrefu kumsubiri mfadhili,wa kuleta vifaa vya kuhifadhia samaki,ikachukulia kupoteza kiasi nilichokuwa nacho,kwani kuna watu nilikuwa niwewaandaa kwa aljil ya kazi,chakula nauli