canne siame
Member
- Sep 17, 2015
- 5
- 5
Habari za muda huu wakubwal!!
Naomba kupata ushauri kidg
Kama ninahitaji kuwa na
biashara & huduma ifuatayo ninahitaji mtaji kiasi gani (kiasi cha chini kabisa).
Kuuza vifaa vya simuu
(Betry earphone memory card n.k)
Ufundi simu na redio
Vifaa vya umeme wa sola (location
hakuna umeme ni solar tuu)
Librarymahitaji ni computer solar&
betry yake, spika na redio)
Kusajili lain & kuuza vifurushi na vocha
(mahitaji smartphone na scanner)
USHAURI TU HATA NATUSI
NTASHUKURU
lakini kati ya hvyo unaeza shauri vya
kuanza navyo kama ni ngumu kuanza
na vyote
Kumbuka swali linasema
"Kiwango cha chini kabisa cha mtaji
hapo itahitajika shilingi ngapi??"
Natanguliza shukrani zangu kwakoo
ulietumia muda wako kusoma ujumbe
huu
Naomba kupata ushauri kidg
Kama ninahitaji kuwa na
biashara & huduma ifuatayo ninahitaji mtaji kiasi gani (kiasi cha chini kabisa).
Kuuza vifaa vya simuu
(Betry earphone memory card n.k)
Ufundi simu na redio
Vifaa vya umeme wa sola (location
hakuna umeme ni solar tuu)
Librarymahitaji ni computer solar&
betry yake, spika na redio)
Kusajili lain & kuuza vifurushi na vocha
(mahitaji smartphone na scanner)
USHAURI TU HATA NATUSI
NTASHUKURU
lakini kati ya hvyo unaeza shauri vya
kuanza navyo kama ni ngumu kuanza
na vyote
Kumbuka swali linasema
"Kiwango cha chini kabisa cha mtaji
hapo itahitajika shilingi ngapi??"
Natanguliza shukrani zangu kwakoo
ulietumia muda wako kusoma ujumbe
huu