Naomba ushauri kuhusu kozi ya Clinical Officer

Mkuu,nahtaj Unisaidie Garama Kwa Mwaka Coz Nami Ni Miongon Mwa Wanao Htaj Kupga C.O,
Asante Mkuu!

unataka kwa chuo gani...
maana ada zinatufautiana... vyuo vya serikali ni chini ya 1mil, vyuo vya private vingi vinaanzia 2mil mpaka 4mil kwa mwaka..
lakini pia kama kweli una huo mpango,mi nadhani kwa huu mwaka umechelela, watu wameishafanya udahili. subiri mwakani ndio uombe.. mara nyingi udahili huanza mwezi wa 3 au wa 4 na kufungwa mwezi wa 5mwishoni au wa 6 mwanzoni..masomo huanza mwezi wa 9 mwishoni au wa 10.
 

Mwisho ni 18 july 2015,hivyo bado siku kazaa mpaka sasa.
 
VYUO Vya AFYA KWA NGAZI YA DIPLOMA NA CERTIFICATE,..UNAOMBA MTANDAONI.
PIA WAMETOA GUIDEBOOK KAMA ILE YA TCU.
ITAFUTE.
 
Hapana cheti chako cha form four ndio kinachotumiwa kukupa nafasi ya masomo ila ni lazima uanzie ngazi ya certificate yaan NTA LV 4. Sio lazima uwe umemaliza form 6
 
Hapana cheti chako cha form four ndio kinachotumiwa kukupa nafasi ya masomo ila ni lazima uanzie ngazi ya certificate yaan NTA LV 4. Sio lazima uwe umemaliza form 6

kama anataka kuishia kuwa dokta wa diploma sawa...ila kama anampango wa kuendelea na degree baadaye, cheti cha form 6 kitahusika...la sivyo atasumbuka sana.
 
Jamani hata mm mpango huo ninao,ila kwa w nataka kuhama kada kwa kusoma c/o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…