Naomba ushauri kuhusu kozi ya kuchagua kati ya hizi

Naomba ushauri kuhusu kozi ya kuchagua kati ya hizi

Hapo aende IFM tu na kwa mbaaaali TIA huko kwengine sitaki kusema sana, ila kuna chuo ukienda unapikika hasa na kwengine una-GPAeika sana.

Sasa uamuzi ni wako, cheti kilichotukuka au ujuzi makini utakaokusaidia huko mbeleni.
 
Aende TIA nimesoma hapo accounting and finance, elimu yake ni rahisi Tanzania nzima. Maana halisi ya chuo bata ipo TIA. Unaweza piga kitabu huku unafanya mishe zingine mtaani muda wa vipindi umekaa poa saana tofauti na vyuo vingine unakesha chuoni siku nzima. Ple vipindi saa 6 hadi saa 6 sku imeisha au saa 6 hadi 10 sku imeisha . Tia Chuo kina kujenga na namna ya life mtaani.
 
Back
Top Bottom