Habari wakuu...najua hapa kuna watu ambao tunaweza kusaidiana kimawazo kufikia malengo...nilitaka kujua wadau kufungua duka LA nguo za wanawake kwa sasa serikali inatakiwa kulipa ushuru kiasi gani kwenye ile mashine....kwa kuwa mipakani tunapopita tunalipa then mzigo ukifika dukani tena tunatakiwa kulipaje ili kuona faida katika kazi... Natanguliza shukrani