Habari za asubuhi ndugu zangu
Nina kuku chotara wakubwa na wanataga mayai. Lakini ndani ya wiki wameanza kuvimba miguu kwenye ankle. Alafu naona kama wanaambukizana. I je, huu ni ugonjwa gani, na tiba yake ni nini?
NAOMBA USHAURI WA HARAKA TAFADHALI